Yahoo Web Search

Search results

  1. Apr 20, 2013 · Sep 3, 2013. 28. 7. Mar 6, 2014. #6. Karma ni matokeo ya matendo ya mtu aliyokuwa anayafanya...yanaweza kuwa mazuri au mabaya...kama vile malipo ya uliyokuwa unafanya...kama ulifanya mambo mabaya, utalipwa ubaya na kinyume chake.

  2. Jun 11, 2011 · Ni msemo unaoaminika hasa katika imani za Mashariki kama vile Hinduism na Buddhism. Kila mwanadamu ana Karma yake, Karma inapaswa kuwa safi kwa kutenda mema, kuwaza mema na kisema mema. Kila hali imetokana na Karma fulani, inaweza ikawa sio yako au ikawa ya mwenzio ambayo ikakuadhiri na wewe kutokana na muunganiko wa Karma zenu.

  3. Apr 29, 2023 · Hinduism: Katika Uhindu, inaaminiwa kwamba kifo ni mwanzo wa awamu nyingine ya maisha. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine. Kile kinachotokea baada ya kifo kinategemea karma ya mtu, na inaweza kuwa reinkanesheni katika mwili mwingine.

  4. Aug 28, 2023 · Kufuatia imani ni kuamini kile unachoaminishwa na the people you can trust, ndio maana mtu unapozaliwa, ukizaliwa kwenye Uislam unaamini Islam ndio dini ya kweli!, ukizaliwa kwenye Ukiristo, unaamini Ukristo ndio dini ya kweli!, mimi nimeishi kidogo India na kupata fursa ya kusoma kidogo Hinduism na Buddhism, ndipo nikagundua kumbe Christianity na Islamic ni kama dini za juzi juzi compared to ...

  5. Jul 17, 2023 · 6,683. 14,036. Dec 2, 2023. #1. Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

  6. Dec 20, 2022 · Habari wakuu, Ningependa kuelimishwa haya machache kuhusiana na hii imani/dini ya Rastafarian (nikipata na ya ziada ntashukuru Mungu)... Nakujibu kwa uchache Yale ninayoyajuwa, kimsingi Rastafarian wana maingiliano na Ukristo ila shida IPO kwenye mapokeo tu. Rastafarian wanaamini Biblia ila wengi ni waumini wa kanisa la Greek Orthodox.

  1. People also search for